Jinsi ya, Sayansi

The User Profile Service service failed the logon.

The User Profile Service services failed the logon. User profile cannot be loaded

Elimu kwa wote – Uwanja wa Kujifunza kwa Urahisi.

Habari hii ni jinsi ya kutatua shida ya failed logon meseji katika computer yako (Windows PC). Ni rahisi sana

Sometimes matatizo kama hayo yanakuwa resolved kwa ku edit registry key za system. regedit ndiyo suruhu ya hili, Sasa regedit command ni ngumu kuipata kama machine haiwaki hata kufikaia kwa start menu.

Suluhu ni ku restart computer na kuiwasha katika SAFE MODE. safe mode ni kuiambia computer iwake with basic drivers ili uweze kufanya mambo yako muhimu (mfano backup data au system recovery).

kuingia safe mode ni unaminya F5 kwa laptop nyingi. then hapo utafwata hatua zifuantazo ikiwaka

Baada ya F5

Unachagua Safe Mode. Ikisha amka una click
Start Menu, then type regedit

. Itakuja Registry Editor,

Fwata mtititiko ufuatao
1. HKEY LOCAL MACHINE
2. SOFTWARE
3. MICROSOFT
4. WINDOWS NT
5. CURRENT VERSION

Kwenye Profile List(Minya alama ya + sign to expand)

Elimu kwa wote – Uwanja wa Kujifunza kwa Urahisi.

Hapa kutakuwa na file mbili zenye jina refu. utarename na kubadirisha value na kuweka 0, Mwisho restart Compyuter. Na utakuiwa umefanikisha kutatiua tatizo.
KWA MSAADA ZAIDI FUATILIA VIDEO HAPO CHINI.

 

Leave a Reply