Nini maana ya Blog?

Maswali MbalimbaliCategory: QuestionsNini maana ya Blog?
Juma Hamisi asked 10 months ago

Hellow Wadau nimekuwa kwenye sitofahamu kuhusu tofauti kati ya Website na Blog, Naombeni kujua zaid kwa mwenye ufahamu kuhusu blog na inafanyaje kazi na lengo lake hasa ni lipi?

Jackson A M replied 10 months ago

Blog ni ukurasa wa mtandao ambao watu wanapata kupitia na kuperuzi maada mbalimbali na kutoa comments zao. Kwa hiyo ni kama ukurasa wa majadiliano.

Your Answer