kati ya wordpress, drupal, na jumla ni ipi bora zaidi na nyepesi kutumia?

Maswali MbalimbaliCategory: Questionskati ya wordpress, drupal, na jumla ni ipi bora zaidi na nyepesi kutumia?
admin Staff asked 11 months ago

Natamani kujua ni platform ipi ya kutengeneza website kwa haraka kati ya joomla, drupal na wordpress

elimu one Staff replied 11 months ago

Yeah , na mimi nahitaji kujua kuhusu ili swala.

2 Answers
elimu one Staff answered 11 months ago

Sina uhakika ila WordPress ndo inatumika na watu wengi duniani. Kwa hivyo nadhani wordpress ni bora zaidi

elimu one Staff answered 11 months ago

Kwa mimi nadhani wordpress ni bora zaidi. Wengi dunian wanatumia wordpress.

Your Answer