Google Wanapataje Fedha?

Maswali MbalimbaliCategory: QuestionsGoogle Wanapataje Fedha?
admin Staff asked 11 months ago

Habari wadau, mambo vipi? Samahani kwa mdau yeyote anayejua namna au jinsi google wanavyopata fedha kwa kuwa na watu wengi wanaotumia huduma zao?

1 Answers
admin Staff answered 11 months ago

Google wanapata fedha kwa namna nyingi. Moji ni kuuza internet services, mbili matangazo, na kuna system ya Payoout inalipa website zenye watu wengi wanaozitembelea

Your Answer