Dondo ya Siku

Hatua za Kujua Compyuta Specifications

Mara ngapi umekuwa ukijiuliza, ufanyeje kuweza kujua aina gani na uwezo gani wa kompyuta ungehitaji kwa matumizi yako? Ni swali gumu kujibu hasa kwa wewe ambaye hauna msingi hata mdogo wa kuhusu kompyuta na ufanyaji kazi wake. Ni rahisi, hatua zifuatazo zitakusaidia kujua uwezo wa komputa uipendayo

  1. Hatua ya Kwanza.

Utaiona kwenye start menu baada ya kuminya Win+R

2. Hatua ya Pili.

Minya .msinfo32 minya Enter. Hapo itakuonesha system information

3. Hatua ya Tatu.

Itachua mda kidogo , na baada ya hapo itakuletea ukurasa au Dialog nzuri ambayo itakupa uwezo wewe wa kuangalia chochote kuhusu kompyuta

Tafadhari pata nakala yako ya PDF hapa.

Tafadhari kama imekusaidia au una maoni mazuri ya kuboresha post hii, comment au andika hapo chini. Kwa maswali yoyote ya technolgy ya habari na mawasilano yaani, ICT issues temebelea https://elimukwawote.com/

One Comment

Leave a Reply