Jinsi ya

Jinsi ya Kutoa website yako local kwenda online na online kwenda local.

Hellow , Usipate shida tena kwa kuhamisha [migrate] website yako kutoka offline au local kwenda online na pia online kwenda local, ni rahisi. Soma ujuzi huu mfupi upate kuelewa namna bora na rahisi ya kuhamisha website yako wakati wowote utakapo. Ziko njia nyingi , leo nitaongelea njia mbili .

Ya kwanza ni kutumia filezilla app na ya pili itawafaa sana designer wa website kwa njia ya wordpress na ni bora sana. kwani kwa sasa watu wengi wanatumia CSM au Contents Management System kwa sababu ya kukidhi mahitaji ya soko kwa haraka.

  • FileZilla ni best kwa mahitaji ya kuweka file ambazo mara nyingi umetengeneza wewe na hasa web files zenye index.html. Hivyo kwa kutumia usernamse na password ya hosting provider wako ya cPanel utaweza kuaccess the file Manger, then public folder then www, then unapaste hapo mafile.
  • ¬†Using plugin (All-in-One WP Migration), hii ni plugin best na bure kwa user wa wordpress. Just install and activate plugin. FANYA hivyo kwa online environment and pia katika local environment. Then kama utatoa WEBSITE local kwenda online export to FILE , then download and save.¬† Na baada ya hapo nenda katika website yako ya online login as admin, harafu nenda kwa All-in-One plugin then import ile file. Na kazi yako utakuwa umemaliza.

Usisite kuadika comment zako kama imekusaidia au kuna jambo ungependa kujua zaidi labda halijaelezewa vizuri na ungependa kulifahamu zaid na elimu kwa wote team tunaanda maelezo mazuri kwa ajiri yako. Pia kwa swali lolote kuhusu teknologia ya habari na mawasiliano yaani ICT usisite kuuliza kupita ukurasa wetu wa elimukwawote.com hata bila kijisajili. just andika email yako tu, chini ya swali lako , au comment yako ili liweze kupokelewa. Chaoos

Tazama video pia kwa maelezo zaidi

 

-L E A R N – C R E A T E – S H A R E –

Leave a Reply