Dondo ya Siku

Huduma vs Bidhaa

Leo Ukienda kwa msichana hamjuani ukamwambia nataka nikuoe atakucheka na kukuona umerukwa na akili

the same applies to a. Salesman huwezi enda kwa mteja hamfahamiani  akujui hajawahi sikia taarifa zako  then utegemee kuuza never….

Inabidi mjuane Kidogo… Chatting za hapa na pale kisha umuombe msichana ruhusa kumwalika kwenye chai alafu chakula cha jioni kisha muwe karibu zaidi alafu unaweza kuanza kupenyeza maneno taratibu juu ya lengo lako la kumchumbia au kumuoa ndivyo biashara hufanyika ili uweze kuclose deal

So kuna hatua kadhaa za mwanzoni zinazoweza kukufanikisha kufikia nwisho wa jambo ikiwa ni kusain deal au kuoa.

Lazima kuwe na hatua kadhaa za ukuaji kimawasiliano..

1. Tuibatize jina la ‘Ngumu,’

Hatua hii inahusisha kukutana na mtu. Au taasisi ambayo hamfahamiani,kadri unavyojieleza na kujifafanua kwao ndicho kitakacho determine kama wanahitaji kusikia zaidi kutoka. Kwako. Au uache mawasiliano..na hawatakupigia Ngo

2. Hii tuipe jina la kimombo ‘Second Date’

Hatua hii ni ya pili kwa muuzaji ajenge mahusiano yake na potecial Clients ili aje amuuzie   so hawajawahi kutumia products zako wanamashaka Kidogo na hawajafanya uamuzi kama waanunue au la.

hatua hii inabidi uanze kusoma alama.za.nyakati kwa kuangalia lugha wanayotumia wateja kuwa mwangalifu namna wanvyojibu., pay attention in to details  kwenye body language na ukikosea kujibu maswali kwa usahihi na kupambana na rejection. ukikosea kwenye hatua hii ujue imekula kwako.

Ni kama msischana umetoka nae. Kwanza. Na. Leo ni mara ya pili unanafasi nzuri ya kufusha karata zako kwa kuonyesha si lazima useme ‘show rather that saying na hapo utakubaliwa ama kupigwa chini. Ukijipanga vyema bila pupa unshindi wako

Hii ni moja kati ya mbinu na hatua moja kati ya nyingi za ku close deals kwetu watu wa sales nimejaribu… I hope kuchambua hatua moja hadi nyingine nyakati nyingine…… Edward Majura Sagini

 

 

 

 “