Dondo ya Siku, Teknolojia

Ijue tofauti ya 2G, 3G na 4G?

Katika sekta ya mawasiliano ni kawaida sana kusikia wataalamu wakitaja teknolojia ya 2G, 3G, 4G na pengine 5G. Watumiaji wa simu aina ya smartphones wanatumia simu zenye uwezo wa teknolojia hizo pasipo kufahamu maana yake, ndio maana Sylvia Mwehozi anakuletea makala ya Sema Uvume ili ufahamu mengi zaidi kuhusu hilo.

G inawakilisha Generation, yaani kizazi fulani cha
teknologia mawasiliano ikizingatia uwezo zaidi wa data kwenye simu.
tukianza na 1G, ilianza kutumika miaka ya 90 na 2G katika kipindi hicho hicho ila
1G ilikuwezesha kupiga simu tu. 2G ilikuwezesha SMS, katika teknologia hii MMS pia ilikuja.

3G teknologia ikazaliwa, ambapo makapuni mengi yalinadi kuwa
ni teknologia yenye kasi zaidi. 3G wengi wenu mtaosoma hii post wengi wenu mtakuwa
mnaifaham hii. japo matumizi ya data yalianza kwenye 2.5G

na 4G ikazaliwa miaka ya 2010 teknolgia ya 4G ilianza kutumia, hata magemu mengi ya mitandao
yaliipenda hii teknology hata wale wapenda filamu katika teknlogia hii kwa filamu
yenye kuchua saa tano kwa 3G
sasa inaweza ikakuchukua dakika 8 tu. Kama unafahamu zaid tafadhari comments au jisajili ili uwe mmoja wa waandishi wetu katika blog ya elimu kwa wote

One Comment

Leave a Reply