Habari Mpya, Inspiration

Elimu kwa wote – Uwanja wa Kujifunza kwa Urahisi.

Elimu kwa wote – Uwanja wa Kujifunza kwa Urahisi.

Ukiwa umewahi kufikiri au kuwaza ni jinsi gani jamii nyingi au mtu mmoja amepata hasara kwa sababu ya kukosa elimu, na ukawahi kufikiri kuwa suluhu ya swala zima na ukosefu wa elimu kwa watu, basi upo mahali sahihi. Elimu kwa wote ni ukumbi au tovuti namba moja ilijojikita katika swala zima la kutoka elimu mbalimbali kwa jamii hasa, wale walioko uraiani au majumbani.

Swali : Elimu ni nini basi? , Elimu ni jambo ambalo wanadamu wote ni lazima walipate katika maisha yao, tangu utotoni hata kufa, Kwa hiyo ni vizuri mwanadamu anaejali utu wake awe ni mtu wa kujifunza kila siku. Ni dhahiri kwamba sisi sote tumepata elimu nyingi tangu utoto wetu ambazo ndizo zilizotujengea utu tuliona richa ya mapungufu yake ila kuna mchango mkubwa ambao wengi wao wamefurahia maisha yao.

Makala hii ni muhimu uisome kwa makini kwa sababu kila mwanadamu anayeishi anastaili elimu ili aweze kuendesha maisha yake.

Kama upendelei kusoma, unaweza tazama (Sikiliza ) audio ya kidigitali hapo chini

 

Elimu kama elimu inatolowa kwa njia nyingi, amabzo tunaweza tukaziweka katika makundi mawili  au matatu. Moja ni elimu inayotolewa kwa kuchukua hatua ya kwenda darasani na mwanafunzi akitarajia kumkuta mwalimu darasani ili ampe taarifa mpya za ufahamu, Mbili ni elimu inayotolewa na jamii ya watu unakuwa nao kwa mda mrefu kwa kusikia au mambo ambayo mara nyingi unayaona. Tafiti zinaonyesha kwamba kusikia mara kwa mara na kuona picha mara kwa mara  zinapelekea taarifa zinase kabika ubongo wa mtu, hata kama hajapenda kupata hizo taarifa. Kwa hiyo Elimu kwa wote, ipo kwa ajiri ya kuwasogezea jamii hasa ile ambayo haijachukua hatua ya kwenda darasani kwa kuzingatia mda wa mafunzo na taratibu mbalimbali.

Kikwete ambaye alikuwepo Washington D.C kwenye mkutano wa ufadhili wa elimu wa mkakati mpya uliozinduliwa mwaka jana kwa nchi za Afrika “The Pioneer country Initiative” baada ya kuzuru nchi 14 zilizo katika mradi huo wa awali.

Dkt. Kikwete amesema alichobaini kuna matatizo makubwa matatu kwenye nchi masikini na nchi za uchumi wa kati ambapo vijana wengi wanaostahili kuwepo mashuleni hawapo mashuleni, lakini la pili ni kwamba wanafunzi waliopo mashuleni wengi wao hawamalizi masomo yao na jambo la tatu watu wanaomaliza masomo yao hawapati elimu wanayostahili kuipata.

ref:  http://fullhabari.blogspot.com/2017/04/kikwete-asema-bado-kuna-shida-kwenye.html

Yapo mbalimbali ambayo yametufanya tuwe na mkakati wa kufanikisha ndoto ya  Elimu kwa Wote, ambao utakuwa ni uwanja wa kujifunza kirahisi. Ndipo elimu kwa wote inaona kuna fursa katika kutoa mchango kwa jamii katika kutoa au kubuni ukurasa ambao utawafikiwa wengi kwa kutoa taarifa njema tu. maktika maswala mbali. Mwaka 2012 ilianza kwa ndoto ya kutoa elimu ya sayansi na teknologia, ikaendelea hivyo tena katika lunga ya kiswahi na kingereza ili kuwafikia wote wanazungumza kiswahili ndani na nje ya Tanzania. Elimu kwa  Wote ikaona vema kuongeza ukumbi wake wa taarifa njema katika elimu mbali mbali kwa watu wote kama ifuatavyo

 • Elimu kwa wote – Teknolojia
 • Elimu kwa wote – Style za Maisha
 • Elimu kwa wote – Sayansi
 • Elimu kwa wote – Jinsi ya
 • Elimu kwa wote – Maswali Mbalimbali
 • Elimu kwa wote – Elimu ya Fedha
 • Elimu kwa wote – Graphics  Design
 • Elimu kwa wote – Computer Hardware
 • Elimu kwa wote – Computer Security
 • Elimu kwa wote – Habari Mpya
 • Elimu kwa wote – Database

Mwisho nimalizie kwa kusema kama ni mara ya kwanza kutembelea tovuti yetu, katika menu option jisajiri katika button kwa jina la INGIA, hapo utapata kujiregister na kupata account kwa kuweza kutoa mchango zaidi kwa jamii panaa zaid. Elimu kwa wote pia inapatikana katika Youtube kwa jina la Elimu kwa wote, subscribe na bofya notification (kengere ) ili uweze kuwa unatupa kwa habari zote njema kwa kuongeza ufahamu wako.

Leave a Reply