Afya yako, Burudani

Sasa ni Lunch Time

Labda kama we si binadamu wa kawaida wa nchi hii, kwa wengi wetu Inapofika majira ya mchana hususani saa. 6na dakika 45 hadi nane na nusu huwa tumbo linakuwa na mahitaji yake.

Mahitaji muhimu kipindi hicho ni maakuli na itapendeza zaidi ikimbatana madhalani sharubati ama kwa kimombo Juice labda na matunda kidogo

Ukiwa katikati ya jiji la Mbeya utakuwa ushasikia pahala mahususi panaloandalia mlo wa mchana kwa mtindo wa kujipakulia ama kimombo bufee/buffet yani unajipakulia mwenyewe bila zengwe

Hapo panajulikana zaidi kama 501Soulfood, kwenye chakula wako vyema zaidi kwa test, usafi wa mazingira ya kupendeza na huduma yao walai utashiba tu na kufurahia chakula chenye virutubisho tele

Ni kweli mlo wao umepangika katika namna ambayo huboreki kula. Zaidi ya pishi 7 tofauti tofauti mezani kweli ni mlo kamili.. Alafu jumatatu nadi ijumaa kila siku pishi linabadirika na kitoweo. Daaah

Duka la madawa maarufu mno hapa mbeya kwa Bhojana ni mkabada tu na ilipo 501Soulfood
Chakula manywaji na mengi mno

Lo embu jionee kwa kuwafuatilia kwenye Instagram 501Soulfood.